Italia inasema silaha zinazotolewa kwa Kiev zitumike ndani ya Ukraine pekee
Italia inasema silaha zinazotolewa kwa Kiev zitumike ndani ya Ukraine pekee
Kufuatia kauli za Uingereza na Ufaransa kuzidi kukashifu kuhusu vita vya Ukraine, waziri wa mambo ya nje wa Italia anasema nchi yake haitaiga mfano huo, akionyesha kwamba silaha za Italia zinazotolewa kwa Kiev zitatumika ndani ya Ukraine pekee.