MZOZO WA MWANA MZOZO:MAREKANI ITAMUUA TRUMP KISHA IMSINGIZIE IRAN

 Bwana Mizozo taarifa zako ni nzuri na zina vyanzo sahihi na makini ila kuwa makini sana na taarifa za kiintelijensia za huduma ya siri ya Marekani, ni waongo sana. Majaribio yote kwa ushahidi wa mazingira wao (huduma ya siri) ndiyo wanahusika lakini wanaficha na kutafuta visingizio. Baada ya majaribio mawili kufeli sasa wanaandaa mazingira ili mauaji yakifanyika waww na sababu ya kuiangamiza Iran maana imekuwa tishio na kikwazo kwa "mtoto" wao Israel lakini pia Trump mwenyewe amekuwa tishio kwa mipango yao kwa Ukraine na Urusi wakidhani watafanikiwa. Muda utaongea.

 

Vyombo vya usalama vya Marekani ni waongo wakubwa, wanamtengenezea mgogoro na Iran ili akiingia awe adui na Iran. Kumuua watamuua wao kisha wamsingizie Iran ili kupata kusingizio cha mauaji. Ni waongo sana maana Iran haina access ya kumfikia Trump kirahisi hivyo bali wao wenyewe ila watafuta sababu ya kufanikisha mpango huo kwa kutumia mgongo wa chuki na Iran kwa Trump. Waongo wakubwa, mbona sababu zipo wazi? Kwamba nchi inahisi Trump akishinda atabadili mpango wa misaada kwa Ukraine na kumaliza vita ambavyo wao Marekani wanataka vita iendelee kwa llengo la kuifilisi Urusi au kuishinda na waendelee na ubabe wao duniani. Wameishiwa sera, hawakuwa wa kuiogopa Iran, lakini sasa wanaanza kujitekenya na kucheka wenyewe. Wanataka kufanya kama walivyofanya kwa Osama bin Ladwn kule Afghanistan. By by america.

 

Popular posts from this blog

Jeshi la Wanamaji la Marekani limesema linakabiliwa na vita 'kali zaidi' tangu Vita vya Pili vya Dunia dhidi ya Wayemeni

Putin asaini mkataba wa kituo cha Mwezi na China