'Wanawake wapende wasipende nitawalinda' - Trump

 

'Wanawake wapende wasipende nitawalinda' - Trump

.

Chanzo cha picha, EPA

Donald Trump aliambia mkutano wa hadhara jana usiku kwamba "Wanawake wapenda wasipende nitawalinda. Nitawalinda dhidi ya wahamiaji wanaoingia. Nitawalinda dhidi ya mataifa ya kigeni ambayo yanataka kutupiga kwa makombora."

Akizungumza na umati wa watu karibu na Green Bay, Wisconsin, Trump aliwaambia wafuasi wake kwamba washauri wake walimwambia "haifai" kuzungumza juu ya kulinda wanawake.

Kamala Harris alijibu kwenye mtandao wa X, kwamba "Donald Trump anafikiri anapaswa kufanya maamuzi kuhusu nini cha kufanya na mwili wako upende usipende.

Katika kura za maoni, Donald Trump ana uungwaji mkono kwa kiasi kikubwa na wanaume, huku wanawake wengi wakisema wanampendelea Kamala Harris.

Popular posts from this blog

Jeshi la Wanamaji la Marekani limesema linakabiliwa na vita 'kali zaidi' tangu Vita vya Pili vya Dunia dhidi ya Wayemeni

Putin asaini mkataba wa kituo cha Mwezi na China