Shambulio la Ukraine kusini mwa Urusi: Tunachojua kufikia sasa

 

Shambulio la Ukraine kusini mwa Urusi: Tunachojua kufikia sasa

99th Battalion AFU

Chanzo cha picha, 99th Battalion AFU

  • Wakati uongozi kisiasa na nchini Ukraine ukisalia kimya kuhusu operesheni yake katika eneo la Kursk kusini mwa Urusi, jeshi lake limeaanza kuachia video ya hali ilivyo katika mikoa ya mpakani mwa Urusi.
  • Kulingana na mkuu wake, karibu theluthi mbili ya wakazi wa eneo jirani la mpaka wa Rylsky walihamishwa.
  • Mshambulizi wa ndege zisizo na rubani za Ukraine dhidi ya kituo kidogo cha nishati uliacha mji wa Kurchatov na miji mingine kadhaa karibu na Kursk bila umeme kwa saa kadhaa.
  • Marekani imetangaza msaada mpya wa dola milioni 125 kwa Ukraine. Inajumuisha, ndege za kivita, vifaru na makombora.
  • Watu 14 waliuawa na 43 kujeruhiwa katika shambulio la Urusi dhidi ya mji wa Konstantinovka,kulingana na mamlaka ya Ukraine.

Popular posts from this blog

Jeshi la Wanamaji la Marekani limesema linakabiliwa na vita 'kali zaidi' tangu Vita vya Pili vya Dunia dhidi ya Wayemeni

Vita vya Urusi na Ukraine: Matukio matano muhimu ya faida na hasara kwa Putin 2024