Tanzania yawatahadharisha raia wake wanaoishi Uingereza kufuatia vurugu zinazoendelea nchini humo.
Tanzania yawatahadharisha raia wake wanaoishi Uingereza kufuatia vurugu zinazoendelea nchini humo.

Chanzo cha picha, Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza
Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza umewataka Watanzania wote wanaoishi nchini Uingereza kuendelea kuchukua tahadhar kufuatia vurugu zinazoendelea katika maeneo mbali mbali ya nchi hiyo, imesema taarifa ya ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza.
Taarifa hiyo imeendelea kusema kuwa ubalozi utakuwa tayari kuwasaidia iwapo kutatokea na hali ya dharura hadi hali iytakaporejea kuwa ya kawaida.
Ubalozi huo umetoabarua pepe na simu za mawasiliano ya dharura kwa Watanzania:
